2:33 PM
0

Makubwa asiyoweza kuyasahau Linah kwenye maisha yake ya kimuziki kutoka THT.

linahnnnMkali kutoka kwenye muziki wa kuimba Tanzania EsterLinah Sanga ‘Linah‘ amekubali kuyasema makubwa ambayo kwake hatokuja kuyasahau kwenye safari yake ya kimuziki baada ya kuingia rasmi Nyumba ya Vipaji TanzaniaTHT
Linah mkali mwenye hit kadhaa ikiwemo Ole themba,jana Mei 19 amesaini mkataba mpya na kampuni ya Pana Musiq,kampuni ambayo kwake itakua ya pili kuingia nayo mkataba  baada ya ile No Fake Zone kumaliza nao mkataba.
Kwanza anasema wakati anaingia THT hakua na uwezo kuperfoam live jukwaani ingawa aliwahi kuimba kanisani lakini anasema Kanisani ni watu wachache wenye kujua kama kuna key(ufunguo) imepanda au imeshuka.
Kubwa lingine analosema hawezi kusahau ni namna alivyofundishwa kucheza na sauti kupanda,kushuka,Harmonise kwa sababu wakati anaenda alikua muoga na hakuwa huru na sauti yake.
Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? tembeleA mtumishihuru.blogspot.com

0 comments:

Post a Comment

:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.