4:59 PM
0

Baada ya kuzushiwa kifo Banza Stone kazungumza haya hapa.

.
Baada ya kuzushiwa kifo ,muimbaji mkongwe wa muziki wa dansi nchini, Banza Stone amesema si jambo la busara la kuzushiana kifo
akizungumza kwenye AMPLIFAYA leo june 24 alisema ‘Mimi nilikuwa nasumbuliwa na kinjwa sana na ki homa homa fulani kama miezi miwili lakini saaa hivi niko vizuri, naelendele poa na leo nilienda hospitali daktari kufanya sound check akaniambia kuwa malaria
TZA:…’Jana ilikua ni mara ngapi kuzushiwa kifo ?
Banza Stone:..’Mimi hata sijui ila nasikia mara watu oooh banza kafaa, mara ooh kila mtu anaongea lake ila mimi niko poa ni mzima naweza kufanya kazi ila kwasasa siko tayari kufanya kazi kwani nitauchosha mwili mwangu
TZA:Vipi kuhusu kazi zako za muziki bado unaendelea nazo ama au ??
Banza Stone’…..Naweza kusema ninaendelea na muziki kama kawaida kwasababu sasa hivi nina kama nyimbo sita  mpya ziko ndani kesho, kesho kutwa naweza nikaamua niachie moja mpaka video ziko tayari sio za bendi bali ni  zangu binafsi…’
Msikilize hapa

0 comments:

Post a Comment

:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.