12:20 PM
0


Burundi:''Uchaguzi utafanyika Jumatatu''

Mshirikishe mwenzako
Balozi wa Burundi katika umoja wa mataifa amekariri kuwa uchaguzi utaendelea mbele Jumatatu licha ya shinikizo uahirishwe
Balozi wa Burundi kwenye umoja wa mataifa amesema kuwa uchaguzi utaendelea jinsi ulivyopangwa siku ya jumatatu licha ya ombi kutaka uahirishwe kutoka kwa katibu mkuu wa umoja wa mataifa Ban Ki moon.
null
Balozi Albert Shingiro aliuambia mkutano wa usalama wa umoja wa mataifa kuwa watu wanataka uchaguzi ufanyike.
null
Uchaguzi wa ubunge unatarajiwa kufanyika Jumatatu
null
Maandamano yalitibuka mjini Bujumbura baada ya Pierre Nkurunziza kutangaza kuwa atawania urais kwa muhula wa tatu

0 comments:

Post a Comment