6:14 AM
0

Hii ndio hofu kubwa kuliko zote ya P-Square katika maisha yao


PSQURRR
PS >>> “Siri ya mafanikio yetu ni kazi.Tunafanya sana kazi, sana! Juhudi zote hizi tunazowekeza katika kazi yote ni hofu ya umasikini, tumesha onja maisha ya umasikini mkubwa na tunauogopa sana umasikini na ndio maana utasikia tunawekeza hapa na kule yote ni kujikinga na umasikini ambao ukifanya mzaa sio kitu kigumu kupata, pia tumeshuhudia wasanii waliopata umaarufu na utajiri kabla yetu lakini leo hawana chochote cha kuonyesha kwa juhudi zao, kitu hiki kinatuogopesha sana. Pia sisi tulishawahi kuishi maisha ya kubanana baba,mama na watoto nane kwenye nyumba ya kupanga yenye vyumba viwili, chakula, ada, mavazi vilikua ni tatizo sana kwetu na ndio kipindi hicho baba yetu alitusihi sana tuje kuwa mabossi wa maisha yetu wenyewe tusiopenda kufanya kazi chini ya mtu na ndio maana unawaona P-Square wanafanya biashara zao wenyewe leo”.

0 comments:

Post a Comment

:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.