8:21 AM
0

Inasikitisha.......AAGA DUNIA SIKU YA TATU BAADA YA NDOA YAKE

Mshirikishe mwenzako
Alioa siku 3 tu kabla ya kuaga dunia
Kijana mmoja barubaru alimuoa mpenzi wake siku tatu tu kabla yake kuaga dunia kutokana na Saratani ya damu lukaemia.
null
Omar aliaga dunia baada ya kukosa mtu ambaye damu yake inayoingiana na yake

0 comments:

Post a Comment