Ninayo tayari hii video ya collabo ya Navio Feat. Mr. Blue- AYAYA (Video) 6:55 AM HIVI PUNDE 0 Ninayo tayari hii video ya collabo ya Navio Feat. Mr. Blue- AYAYA (Video) June 29, 2015 111SHARES SHARE TWEET SHARE SHARE COMMENTS Mwezi February 2015 Rapper kutoka Uganda, Navio alitua TZ kwa ajili ya show ambayo ilifanyika Club Billz, Dar es Salaam ilimshuhudia star huyo alipofanya uzinduzi wa Video ya Hit song ya ‘Kigozi‘. Uwepo wa Navio ndani ya TZ ulikuwa na kingine kizuri, walikutana na Mr. Blue na kupiga collabo ambayo tayari imefanyiwa video… kama hujakutana na video hiyo basi unaweza kuchukua kama dakika nne hivi kuicheki hapa.
0 comments:
Post a Comment