SHETTA ATANGAZA DAU NENE KWA ATAKAYEPATA PASSPORT ZAKE ZIKIWA SALAMA 2:36 PM HIVI PUNDE 0 SHETTA ATANGAZA DAU NENE KWA ATAKAYEPATA PASSPORT ZAKE ZIKIWA SALAMA Staa ambaye ana hit ys ‘Shikorobo‘ sasa hivi ameweka tangazo kwenye vyombo vya habari ikiwemo Magazetini kwamba amepoteza passport yake.. Soudy Brown akaona amcheki pia ili kujua hiyo ishu ikoje ! Shetta amesema ni kweli hakumbuki aliweka wapi Passport yake, alikuwa na safari ya kwenda Comoro kwenye show ila imebidi asogeze mbele tarehe ya kusafiri. Hii kumbe ni mara ya pili Shetta anapoteza passport yake.. Jamaa amesema ikitokea mtu yoyote kaipata dau ni Milioni moja! Nimemrekodi Soudy Brown na Shetta kwenye U Heard leo, ukiplay hapa utaisikia story yote ikoje. mtumishijasiri.blogspot.com
0 comments:
Post a Comment