9:17 AM
0

Marikana:Shinikizo mkuu wa polisi afutwe kazi

Mshirikishe mwenzako
Marikana:Shinikizo mkuu wa polisi afutwe
Upinzani nchini Afrika Kusini unaitaka serikali imfute kazi mkuu wa polisi Riah Phiyega baada ya tume maalum ya uchunguzi wa mauaji ya wachimba mgodi wa Marikana 2012 kumlaumu yeye na idara ya polisi kwa kusababisha vifo hivyo.
null
Upinzani nchini Afrika Kusini unaitaka serikali imfute kazi mkuu wa polisi Riah Phiyega kufuatia mauaji ya wachimba migodi wa Marikana

0 comments:

Post a Comment

:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.