9:09 AM
0


Burundi upinzani kususia uchaguzi mkuu

Mshirikishe mwenzako
Ban Ki-Moon ametoa wito kwa utawala wa nchi hiyo kuhairisha uchaguzi mkuu
Nchini Burundi hali ya kisiasa inaendelea kutokota, huku vyama vya upinzani vikitangaza kususia uchaguzi mkuu unaotarajiwa kuanza wiki ijayo.
null
Rais Nkurunziza amekataa kujiondoa katika uchaguzi wa urais
null
Umoja wa mataifa umekuwa ukiendesha jitihada za kuleta uwiano kabla ya uchaguzi
null
Makamu wa Rais alitoroka nchini humo baada ya kumpinga rais Nkurunziza
null
Waandamanaji wanapinga rais Nkurunziza kuwania muhula wa tatu

0 comments:

Post a Comment

:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.