MPOKI KUGOMBEA UBUNGE 6:58 AM Unknown 0 MPOKI KUGOMBEA UBUNGE 2015 ndio mwaka ambao wasanii wengi zaidi wameingia kwenye headlines za kutangaza Ubunge, Mpoki nae kaamua kuungana na list ya mastaa hao? Tetesi zikamfikia Soudy Brown kwamba jamaa nae kaamua kuingia kwenye mchakato huo kimyakimya… Soudy akamcheki jamaa, majibu yake ni kwamba hajatangaza na wala hana mpango huo, kwa sasa ni yeye na shughuli yake ya usanii wa kuchekesha.
0 comments:
Post a Comment