12:28 PM
0

Serikali yaondoa marufuku dhidi ya Hawala

Mshirikishe mwenzako
Hawala
Serikali ya Kenya imeondoa marufuku dhidi ya kampuni za kupokea na kuhamisha fedha maarufu Hawala zinazotumiwa na raia wengi wa Somalia.

0 comments:

Post a Comment