2:31 PM
0

Mchezaji wa kigeni kulipa Tanzania

Mshirikishe mwenzako
Wachezaji wa kigeni wa Yanga, Haruna Niyonzima wa Rwanda (kushoto) na Amisi Tambwe wa Burundi, wakiwa miongoni mwa wachezaji wa kigeni wanaocheza soka la kulipwa Tanzania
Shirikisho la soka nchini Tanzania (TFF) limepitisha azimio la kila mchezaji wa kigeni kulipa dola 2,000 ( wastani wa milioni 5) kwa kila msimu atakaocheza ligi kuu ya Tanzania.

0 comments:

Post a Comment