11:27 AM
0

Hii ndio kauli nzito aliyoitoa mwana mfalme juu ya FIFA

31 MAY 2015.Mtumishijasiri
Mwana wa mfalme wa Uingereza, Prince William ametoa wito kwa shirikisho la soka duniani FIFA kuweka maslahi ya soka mbele ya matamanio ya kibinafsi.

Kwenye hotuba yake kabla ya fainali ya kombe la FA nchini Uingereza, William ambaye pia ni rais wa shirikisho la soka la FA nchini Uingereza,

ameilinganisha sakata ya FIFA na ile ya jiji la Salt Lake ilifyofanyika wakati Marekani ilikuwa inasaka tiketi ya kuandaa mashindano ya olimpiki ya barafu mnamo mwaka wa 2002 na kuilazimu kamati ya kimataifa ya Olimpiki kuimarika.
                     MTUMISHIJASIRI.BLOGSPOT.COM

0 comments:

Post a Comment

:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.